Mayova Senior Member Joined May 10, 2018 Posts 189 Reaction score 132 Jun 23, 2022 #1 Wapendwa katika bwana … naombeni mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar es Salaam kwa bei nafuu
Wapendwa katika bwana … naombeni mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar es Salaam kwa bei nafuu
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jun 23, 2022 #2 Umeme wa majumbani au umeme wa magari?
Mayova Senior Member Joined May 10, 2018 Posts 189 Reaction score 132 Jun 23, 2022 Thread starter #3 kawombe said: Umeme wa majumbani au umeme wa magari? Click to expand... Umeme wa nyumbani
M Mkalapa boy Member Joined Aug 19, 2021 Posts 84 Reaction score 172 Jun 23, 2022 #4 Njoo mbagala mkuu 1.5mm ni 1400-1500. 2.5 ni 2000 double socket tronic 7000 wakati sehemu zingine 1.5 ni 1800 2.5 2500
Njoo mbagala mkuu 1.5mm ni 1400-1500. 2.5 ni 2000 double socket tronic 7000 wakati sehemu zingine 1.5 ni 1800 2.5 2500
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Jun 23, 2022 #5 Mkalapa boy said: Njoo mbagala mkuu 1.5mm ni 1400-1500. 2.5 ni 2000 double socket tronic 7000 wakati sehemu zingine 1.5 ni 1800 2.5 2500 Click to expand... Extension za tronic wanauzaje ? Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Mkalapa boy said: Njoo mbagala mkuu 1.5mm ni 1400-1500. 2.5 ni 2000 double socket tronic 7000 wakati sehemu zingine 1.5 ni 1800 2.5 2500 Click to expand... Extension za tronic wanauzaje ? Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
je parle JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 2,022 Reaction score 3,919 Jun 23, 2022 #6 Mkalapa boy said: Njoo mbagala mkuu 1.5mm ni 1400-1500. 2.5 ni 2000 double socket tronic 7000 wakati sehemu zingine 1.5 ni 1800 2.5 2500 Click to expand... Mbona 1.5 ni 1200 tu Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Mkalapa boy said: Njoo mbagala mkuu 1.5mm ni 1400-1500. 2.5 ni 2000 double socket tronic 7000 wakati sehemu zingine 1.5 ni 1800 2.5 2500 Click to expand... Mbona 1.5 ni 1200 tu Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Calyx24 JF-Expert Member Joined Jan 13, 2018 Posts 213 Reaction score 292 Jun 24, 2022 #7 kawombe said: Umeme wa majumbani au umeme wa magari? Click to expand... mkuu tuwekee vifaa vya umeme wa magari
kawombe said: Umeme wa majumbani au umeme wa magari? Click to expand... mkuu tuwekee vifaa vya umeme wa magari