Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Habari ndugu zangu kwa wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta biomedical engineers wa kazi hizo, kwa baadhi ya vifaa kama xray za phillips huwa na mafundi wao, anyway kama unamiliki hosp au kifaa husika sio rahisi kujiuliza swali kama lakoHabari ndugu zangu.kw wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?
Mkuu samahani naomba niulize, frequency ya vifaa ivo kupata faults/ breakdown hapo kituoni kwako ikoje?Kuna mmoja anakujaga hapa yeye atnatokea kenya
Habari ndugu zangu kwa wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?