Hiz nch ni tajir sana,hvyo viwanja kwao ni sawa na kujenga nyumba tuu bongo,ni sawa na ushangae bakhresa ajenge nyumba.bongo hatuwez fika hyo level labda miaka 900 itapendeza
Nimebaki natabasamu tu, sis kufika huko si leo labda baada ya millennium moja ukizingatia ndo kwanza tunahangaika na ujenzi wa flyover na SGR kwa mkopo. Nalog off now, bora niendelee kunywa castle zangu tu.