Vifahamu viwanja vilivyoandaliwa na Urusi kwa ajili ya World Cup 2018. Tutafika kweli?

Kwan tunaend wap mpk usem ttafka kwel
 
Flyover moja tu mpaka leo ni maneno tu. Tz kazi tunayo
 
Hiz nch ni tajir sana,hvyo viwanja kwao ni sawa na kujenga nyumba tuu bongo,ni sawa na ushangae bakhresa ajenge nyumba.bongo hatuwez fika hyo level labda miaka 900 itapendeza
Huo ndo utetezi wetu mkubwa.
Sisi masikinii
Wao matajiri.
Sawa je mmetafuta wawekezaji wawekeze kwenye viwanja? Au unafikiri viwanja vyote hivyo ni vya serikali!?
 
Dah! Ulaya ulaya tu aisee. Bongo bahati mbaya
Nliskia kuna mpango wa Afrika Mashariki kuomba kuandaa World Cup 2030. Sijui itakuwaje yaani haha. Ukiachana hata na viwanja, kuna hoteli zetu substandard, mifumo ya usafiri substandard, umeme substandard yaani kila kitu ni chini ya viwango!
 
Mleta mada ungetaja na miji viwanja vilipo. Unajua baadhi ya miji ya Russia watu wengi hatuijui zaidi ya Moscow St Petersburg na sochi. Ungeweka jina la kiwanja unataja na mji kilipo.

Kuna taarifa england watasafiri zaidi ya km 9800 wakiwa kwenye mashindano hayo.
 
Huku bado umeme ni kizungumkuti, na bado vi-wonder vinatuchelewelesha kabsaa
 
Huo ndo utetezi wetu mkubwa.
Sisi masikinii
Wao matajiri.
Sawa je mmetafuta wawekezaji wawekeze kwenye viwanja? Au unafikiri viwanja vyote hivyo ni vya serikali!?
Uwekeze mabilion kwa turn out gan,waty wenyew wapenda mipira wanategemea kuingia uwanjan bure,..viingilio vya buk 5 ndo virudishe hzo gharama za ujenz,haiwezekan,.tuendelee kuona vya wenzetu tuu,waafrica hatutak kubal kua tuko nyuma ya hawa jamaa miaka 600,lets do kilimo,na mambo basic,hayo mengne ya intertainment bado hatujafika huko
 
Tayari mkuu. Ramani hii hapa

 
ISIS waende kwa Putin wakione cha moto.

Anapiga wavamizi na nchi yao yote.
 
Ni vizuri, ila vya Qatar ni funika ya vyote...! Wale waarabu aisee hawafai kabisa
 
Kwanini kiwanja kimoja wamekipeleka Lithuania?
 
Dr Shika anahaki kuwa anajifungia mwenyewe tu chumbani kama kweli aliishi huko maana huenda alikua anahisi kama yuko maporini hapa bongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…