Ndio maana nikasema waarabu ni hela tu ndo wanayo. Hivyo viwanja vya Qatar unafikiri vilibuniwa na kujengwa na makampuni ya Qatar?
Hapo utakuta mbunifu ni kampuni ya UK alafu mjenzi ni kampuni ya Ujerumani. Qatar wanatoa $$$$ tu.
Sasa si ndio kwenye pesa unategemea hayo makampuni hata kama ni ya ulaya yatajenga bure
Kwanza ulaya kuna viwanja gn bernabeu,camp nou,Emirates au
Kila siku viwanja vyao tunaviona kwa ndani,aerial hata usiku uefa tunaviona
Mi naona pitch za ulaya nzur kawaida tu si kama za asia