JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
HAKI ZA BINADAMU
Hakiki za binadamu ni stahili alizonazo kila binadamu kwa asili ya kuwa binadamu.
Chanzo kikuu cha haki za binadamu nchini Tanzania ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Sambamba na Katiba, vipo vyanzo vingine vya haki za binadamu nchini, kama vile
Sheria ya Mtoto Namba 21 ya mwaka 2009
Sheriaa Watu Wenye Ulemavu Namba 9 ya mwaka 2010,
Sheriaya Kuzuia na Kudhibiti Ukimwi Namba 28 ya mwaka 2008
Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini namba 6 ya mwaka 2004,
Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Sura ya 20(R.E. 2002)
Mikataba mbalimbali ya Haki za Binadamu ya kimataifa na ya kikanda ambayo Tanzania imeisaini na kuiridhia.
Upvote
1