Kwa watumiaji wote wa egg incubator na wateja wetu wa MGE.tunawakaribisha ktk group la mwakalinga general enterprises ili mjipatie elimu na ujuzi jinsi ya kutumia incubator na uleaji wa vifaranga.
Elimu juu ya kutumia incubator tutatoa bure.
Karibuni sana.
MGE ENGINEER.
0784413039