D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Wakuu napataje kuku chotara.
Mkoani iringa
Kutaja bei ni muhimu
Mkoani iringa
Kutaja bei ni muhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bei zao zikoje mkuu?Kuna vibanda kibao kule towm nje kidogo ya stand!
Wao nadhani wanachukua Silver land kule ihemi!
Nenda hapo utapata
Uko mkoa ganiWakuu napataje kuku chotara.
Mkoani iringa
Kutaja bei ni muhimu
Unataka kufuga aina gani?bei zao zikoje mkuu?
hujui kusoma au unajidharaulisha?Uko mkoa gani
hujui kusoma au unajidharaulisha?
sawa mkuu ila ntashukuru kama naweza kujua bei za hao vifaranga chotaraMkuu mbona Silverlands wapo hapo Iringa jaribu kuwacheki...
Vifaranga vyao viko vizuri ...