Vifaranga vinatolewa kwenye bruda/duara ya silingi bodi

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Habari wanajf,ningependa kujua ni lini vifaranga vinatakiwa vitolewe kwenye BRUDA au lile Duara la silingi bodi linalotumika kuhifadhi joto kwa vifaranga ,ninaomba mnielimishe.Nimeambatanisha na kielelezo hapa chini
 
Attachments

  • IMG_20230801_164832.jpg
    IMG_20230801_164832.jpg
    626.2 KB · Views: 8
Inategemea na wapi unafugia pia ni vifaranga vya nini. Kwa eneo lenye Baridi kama Iringa, Mbeya na Njombe. Huwa tunawaweka 30 days kwa vifaranga wa Kuku na 7 days vya bata. Hii ni kwa uzoefu wangu kwani nafugia sehemu yenye baridi kali Mbeya.
 
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi!!Vifaranga vyangu kwa sasa vina siku 23
 
Back
Top Bottom