Habari wanajf,ningependa kujua ni lini vifaranga vinatakiwa vitolewe kwenye BRUDA au lile Duara la silingi bodi linalotumika kuhifadhi joto kwa vifaranga ,ninaomba mnielimishe.Nimeambatanisha na kielelezo hapa chini
Inategemea na wapi unafugia pia ni vifaranga vya nini. Kwa eneo lenye Baridi kama Iringa, Mbeya na Njombe. Huwa tunawaweka 30 days kwa vifaranga wa Kuku na 7 days vya bata. Hii ni kwa uzoefu wangu kwani nafugia sehemu yenye baridi kali Mbeya.