Vifaranga vya Bata

Vifaranga vya Bata

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
2,047
Reaction score
1,465
Nahitaji vifaranga vya bata wa kawaida hawa (bata mavi).

Mwenye navyo anipm. Ninapatikana Dsm.
 
Vifaranga wewe ni wa nini wale unachukua wakiwa tayar wakubwa majike wawili dume moja uzao mmoja tu banda linajaa.hao vifaranga watakucost bure.
 
Vifaranga wewe ni wa nini wale unachukua wakiwa tayar wakubwa majike wawili dume moja uzao mmoja tu banda linajaa.hao vifaranga watakucost bure.

Navihitaji kwa ajili ya kufuga. Tena vile vya siku moja.

Unashangaa vifaranga vya bata mbona watu wananunua vya kuku,kanga ila hakuna maswali.

Kama unavyo nipm.
 
Back
Top Bottom