Vifaranga vya Interchick au Mkuza Chick

Steinar

Senior Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
109
Reaction score
380
Wapendwa,

Naomba mnisaidie kwa anayejua jinsi ya kuweza kuwapata vifaranga vya layers - either kutoka interchick au mkuza chick .

Ninahitaji layers vifaranga 500, nipo mkoani njombe.

Ntanguliza shukrani kwa ushauri wenu na muongozo mtakaonipatia.
 
Uko ulipo hakuna mawakala wa interchick Kama hakuna upewe namba uwongee nao wa uku dar watakupa utalatibu

Utanisaidia sana nikipata no zao, huku kulikuwa na mawakala wawili lakini wametapeli watu hela zao na sasa wamefunga ofisi na hawajulikani walipo. Wamekimbia mji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utanisaidia sana nikipata no zao, huku kulikuwa na mawakala wawili lakini wametapeli watu hela zao na sasa wamefunga ofisi na hawajulikani walipo. Wamekimbia mji.
Pm nakutumia
 
Km hukufanikiwa nichek mkuza npo nae jiran kabsa hapa iringa
 
Kwa chakula bora na ushauri wa bure juu ya ufugaji wako wa layers karibu tukuhudumie, tunachakula bora kabisa nipm kwa ufafanuzi zaidi
 
Ukiingia gugo utapata nambari zao
 
Wapendwa,

Naomba mnisaidie kwa anayejua jinsi ya kuweza kuwapata vifaranga vya layers - either kutoka interchick au mkuza chick .

Ninahitaji layers vifaranga 500, nipo mkoani njombe.

Ntanguliza shukrani kwa ushauri wenu na muongozo mtakaonipatia.

Kama uko serious nichek pm nikupe namba zao za head office dar
 
Utanisaidia sana nikipata no zao, huku kulikuwa na mawakala wawili lakini wametapeli watu hela zao na sasa wamefunga ofisi na hawajulikani walipo. Wamekimbia mji.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…