Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka beiHabari za Jumapili...
Vifaranga Vya Kuchi Vipo sokoni....Vina miezi 4 paka sasa
View attachment 594691
shikamoh!!Ndio
Nipo Arusha...70,000@
Nipo Arusha...70,000@
Hawa ndege gani?Habari za Jumapili...
Vifaranga Vya Kuchi Vipo sokoni....Vina miezi 4 paka sasa
View attachment 594691
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuku 70000 sijawahi skia hiyo bei,au labda kama unauza vifaranga vya mbuni
Ohoooo!!!!....Duuh kwa huku nilipo hiyo bei wapata mbuzi wawili saafiii.
Ni aina ya kuku ambao ukiweza kuwakuza na kuwatunza vizuri wanadeal mjini si wa kisasa ila ni wakienyeji.Kuchi ndio ndege gani mkuu??