Vifaranga Vya Kuchi...

Naomba niuzie kuku kama huyo kwa Elfu 20 hata Mia mbili ntanunua
 
Naomba niuzie kuku kama huyo kwa Elfu 25 hata Mia mbili ntanunua.
 
Ndio maana nikasema mwenye kuku kama huyo hapo juu haniuzie
 
Tumeumbwa kujaji bei kabla ujachunguza thamani ya kitu ndio maana nikasema wote walio sema bei zao wanao wapata hao kuku naomba waniuzie Pls.
 
Hujui thamani yake ndio maana unaongea pumba..ndio maana kuna mbuzi na kuku. Kwanini unanunua Bata Bukini laki 3 paka laki 4 kwa pear? Na Bata maji ni 40,000 kwa pear?
Mimi nilijua labda umekosea ni 7,000/ kwa 70,000/ kula mwenyewe uone kama thamani ya hela hiyo na huyo kuku vinalingana.Huku Geita vifaranga wanauzwa 6000/
 
Hao kuku Singida ni tshs 25,000 kwa jogoo na jike ni tshs 20,000.
Sasa sijui hao wako ni gani..!?
 
Hujui thamani yake ndio maana unaongea pumba..ndio maana kuna mbuzi na kuku. Kwanini unanunua Bata Bukini laki 3 paka laki 4 kwa pear? Na Bata maji ni 40,000 kwa pear?
Kwanini umekasirika labda?
Anyway,jee hao kuku wana kipi cha ziada?
 
ngoja niwasiliane na wachina naona kuna fursa hapo, nina vijikuku vyangu vya kienyeji naamini vinaweza kuwa kuchi, maana sio kwa bei hio kwa awamu hii ya vi wonder.
 
Mwenye Kuchi hawaweke hapo tuone maana mnaongea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…