Vifaranga vya Samaki

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,836
Reaction score
265
Natafuta vifaranga mbegu nzuri. Nani anao wa sato?
 
Hivi na watoto wa samaki nao wanaitwaga vifaranga? Nahitaji kujua tu!.
 
Inategemea mahali ulipo ila kila mkoa una bwana samaki anapaswa kujua
 
Kwa Dar es salaam
 
Natafuta vifaranga mbegu nzuri. Nani anao wa sato?
Wasiliana na Faith Aquaculture, wapo Kibamba, dar es Salaam. 0717-537070.Pia unaweza kuwasiliana na Kingorwila Government Fish Hatchery, Morogoro. 0767-503058.Kila la heri mdau wa aquaculture.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…