Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukaniletea Arusha?🦆🦆🦆🦆🦆🦆🦆🐣🐣🐣🐣🐣
Unaweza ukaniletea Arusha?
Bata Ni Bata tu Ila Hawa Ni Bukini wakubwa, hawachafui Sana pamoja na kuwa mlo wao unajumuisha majani kwa asilimia kubwa.Hawachafui mazingira kama wale bata wetu wengine
Bata ni bata muraaaHawachafui mazingira kama wale bata wetu wengine
Nipe namba nikupigie ss hv mkuu....Bata Ni Bata tu Ila Hawa Ni Bukini wakubwa, hawachafui Sana pamoja na kuwa mlo wao unajumuisha majani kwa asilimia kubwa.
Kwasababu ya Kula majani kinyesi Chao huwa si kichafu Kama mabata wa kawaida.
Ni urembo mzuri wa nyumbani, pia wakiona mtu iwe usiku au mchana wanapiga kelele hivyo Ni ulinzi pia na Ni mlo mzuri.
Nipe namba mkuu tuongee biashara...Wacha nicheki na jamaa wa fuso nitakuambia.... Au pia unaweza ukaulizia wajamaa wa fuso Hapo kilombero sokoni au karibu na posta Arusha wakakuunganisha na mwenzao anayekuja huko.....
Habari,
Ninauza vifaranga wa Bata BUKINI wa MWEZI na nusu.
Wamebaki watatu... Dume moja na jike mbili.
Bei Ni tsh. 30,000@ kwa rejareja na tsh. 25,000@ kwa jumla.
Wapo maeneo ya kiboriloni, Moshi Mkoani Kilimanjaro.View attachment 1582207View attachment 1582208View attachment 1582210View attachment 1582211View attachment 1582212View attachment 1582209