Vifaranga wa kienyeji mwanza

Vifaranga wa kienyeji mwanza

NGARUKA

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
401
Reaction score
70
jamani nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji,naomba mwenye kujua wapi naweza pata vifaranga waliochanjwa kwa hapa Mwanza.
shukrani kwenu
 
jamani nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji,naomba mwenye kujua wapi naweza pata vifaranga waliochanjwa kwa hapa Mwanza.
shukrani kwenu
mkuu, mimi ninao unaweza kunitembelea ukawaona na tukafanya biashara, tuwasiliane kwa 0757756948
 
Back
Top Bottom