NGARUKA JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 401 Reaction score 70 Jul 15, 2014 #1 jamani nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji,naomba mwenye kujua wapi naweza pata vifaranga waliochanjwa kwa hapa Mwanza. shukrani kwenu
jamani nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji,naomba mwenye kujua wapi naweza pata vifaranga waliochanjwa kwa hapa Mwanza. shukrani kwenu
A ASAKI Member Joined Jul 7, 2014 Posts 28 Reaction score 2 Jul 24, 2014 #2 NGARUKA said: jamani nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji,naomba mwenye kujua wapi naweza pata vifaranga waliochanjwa kwa hapa Mwanza. shukrani kwenu Click to expand... mkuu, mimi ninao unaweza kunitembelea ukawaona na tukafanya biashara, tuwasiliane kwa 0757756948
NGARUKA said: jamani nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji,naomba mwenye kujua wapi naweza pata vifaranga waliochanjwa kwa hapa Mwanza. shukrani kwenu Click to expand... mkuu, mimi ninao unaweza kunitembelea ukawaona na tukafanya biashara, tuwasiliane kwa 0757756948