Vifaranga wa Kwale sasa wanapatikana kwa wingi

Vifaranga wa Kwale sasa wanapatikana kwa wingi

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Posts
1,100
Reaction score
82
Vifaranga wa siku moja, week moja, week mbili na week tatu wanapatikana kwa wingi.

Hawa wafugaji wako Mbele ya Tegeta Dar es Salaam, lakini wanauwezo wa kukuletea vifaranga mahali ulipo kwa wakazi wa Dar, Bagamoyo, Kibaha na Morogoro Msamvu

Mimi nimechekua vifaranga vyangu leo asubuhi baada ya kupewa Darasa la uhakika, kizuri kula na nduguyo

Wapigie simu number 0654 163 784
 
Bei yao ipoje?

Mimi nimechuka vifaranga 400 wa week mbili kwa bei ya Tsh.4,500 kwa kifaranga, sikumbuki bei nyingine lakini wa week moja ni chini zaidi, jaribu kuwasiliana nao
 
Bei yao ipoje?


KWALE BORA LTD

Bei ni kama ifuatavyo kwa kifaranga:-

Kwale wa siku moja sh. 2,500
Kwale wa week moja sh. 3,500
Kwale wa week mbili sh. 4,500
Kwale wa week tatu sh. 5,500
Kwale wa week nne sh. 7,000
Kwale wa week tano sh. 9,000
Kwale wa week sita sh. 12,000

Tunasafirisha hadi mikoani

Wasiliana nasi kwa number : 0654 163 784
 
Back
Top Bottom