Pre GE2025 Vifaranga waanza kujikusanya katika mbawa za mama yao: Mchungaji Peter Msigwa ajiunga na ziara za Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nimeona Mchungaji Msigwa amejiunga katika ziara ya Tundu Lissu. Wakati Msigwa akigombea, Lissu alipita Iringa na akatoa neno kama la kumtetea Msigwa alipokuwa akipambana na kampeni konki za Sugu.

Msigwa naye, baada ya kuchapwa akachapika, na yeye karudia kauli za baba yake kisiasa, Tundu Antipas Lissu. Inasemekana alienda "kumsemelea" Mbowe, Sugu, Mrema na Kigaila kwa Liissu
 
... Msigwa naye aache ushamba! ... we unasikia viongozi wenzio wamenunua kakreti kamoja ka bia wanakata kilaji kiroho-safi ... badala ya wewe kujiunga ukashusha kreti lako, shangwe liendelee, unaanza kujilizaliza ati RUSHWA, POLE MZEE!
😅
 
... Msigwa naye aache ushamba! ... we unasikia viongozi wenzio wamenunua kakreti kamoja ka bia wanakata kilaji kiroho-safi ... badala ya wewe kujiunga ukashusha kreti lako shangwe liendelee unaanza kujilizaliza ati RUSHWA, POLE MZEE!
😅
Kabisa, yaani na baridi la Iringa alitaka watu wasikae mahali hivi wakapoza koo na kujadiliana umahiri wa SSH
 
Nimeona Mchungaji Msigwa amejiunga katika ziara ya Tundu Lissu. Wakati Msigwa akigombea, Lissu alipita Iringa na akatoa neno kama la kumtetea Msigwa alipokuwa akipambana na kampeni konki za Sugu.

Msigwa naye, baada ya kuchapwa akachapika, na yeye karudia kauli za baba yake kisiasa, Tundu Antipas Lissu. Inasemekana alienda "kumsemelea" Mbowe, Sugu, Mrema na Kigaila kwa Liissu
Haya mambo ya kipuuzi na watu wapuuzi ndo yanawafanya ccm wauze bahari na madini kwa korea kusini

Kwa akili hizi mpaka ifike 2030 Abdul atakuwa ameuza Kila kitu
 
Endeleeni kuhangaika....wamewapoteza maboya
 
... Msigwa naye aache ushamba! ... we unasikia viongozi wenzio wamenunua kakreti kamoja ka bia wanakata kilaji kiroho-safi ... badala ya wewe kujiunga ukashusha kreti lako, shangwe liendelee, unaanza kujilizaliza ati RUSHWA, POLE MZEE!
😅
Aaahaaa
 
Haya mambo ya kipuuzi na watu wapuuzi ndo yanawafanya ccm wauze bahari na madini kwa korea kusini

Kwa akili hizi mpaka ifike 2030 Abdul atakuwa ameuza Kila kitu
Yani CCM anayeiba unamsifia, ila CHADEMA isiyokuwa na mamlaka unailaumu. Yani CCM yenye bunge, halamashauri na mitaa yote pamoja na serikali unailamba miguu, ila CHADEMA isiyo na mamlaka hata kidogo ndio unailaumu. Punguza unafiki na uchawa.
 
2020 Tundu Lisu alimpigia kampeni ya Ubunge Zitto Kabwe ilhali Chadema ilikuwa na mgombea

Zitto Kabwe alimpigia kampeni Tundu Lisu ilhali ACT wazalendo ilikuwa na mgombea Urais

Kuna Siri kubwa 🐼
Mkuu sio kweli, wala hakuna siri sema wewe una soma kitabu chako upside-down halafu unaona kama kuna siri. Geuza kitabu chako ukisome vizuri!
 
Back
Top Bottom