Wakurya wanapigana mapanga kwa ajili ya Chadema alafu mbowe anasema bado hawaaminiki ni mamluki anamuamin john mremaHicho chama sio cha walima alizeti au wauza mbao.
... Msigwa naye aache ushamba! ... we unasikia viongozi wenzio wamenunua kakreti kamoja ka bia wanakata kilaji kiroho-safi ... badala ya wewe kujiunga ukashusha kreti lako, shangwe liendelee, unaanza kujilizaliza ati RUSHWA, POLE MZEE!Nimeona Mchungaji Msigwa amejiunga katika ziara ya Tundu Lissu. Wakati Msigwa akigombea, Lissu alipita Iringa na akatoa neno kama la kumtetea Msigwa alipokuwa akipambana na kampeni konki za Sugu.
Msigwa naye, baada ya kuchapwa akachapika, na yeye karudia kauli za baba yake kisiasa, Tundu Antipas Lissu. Inasemekana alienda "kumsemelea" Mbowe, Sugu, Mrema na Kigaila kwa Liissu
Kabisa, yaani na baridi la Iringa alitaka watu wasikae mahali hivi wakapoza koo na kujadiliana umahiri wa SSH... Msigwa naye aache ushamba! ... we unasikia viongozi wenzio wamenunua kakreti kamoja ka bia wanakata kilaji kiroho-safi ... badala ya wewe kujiunga ukashusha kreti lako shangwe liendelee unaanza kujilizaliza ati RUSHWA, POLE MZEE!
😅
Haya mambo ya kipuuzi na watu wapuuzi ndo yanawafanya ccm wauze bahari na madini kwa korea kusiniNimeona Mchungaji Msigwa amejiunga katika ziara ya Tundu Lissu. Wakati Msigwa akigombea, Lissu alipita Iringa na akatoa neno kama la kumtetea Msigwa alipokuwa akipambana na kampeni konki za Sugu.
Msigwa naye, baada ya kuchapwa akachapika, na yeye karudia kauli za baba yake kisiasa, Tundu Antipas Lissu. Inasemekana alienda "kumsemelea" Mbowe, Sugu, Mrema na Kigaila kwa Liissu
Kwahiyo Lisu mchaga, Sugu mchaga, Kigaila mchaga. Una matatizo kwenye afya ya? Kwani kila kitu lazima uchangie?Nafikiri chadema wangeachia na makabila mengine chama wakurya wanapambania sana chama lakini mbowe anasema hakuna wa kuaminiwa zaidi yake
Endeleeni kuhangaika....wamewapoteza maboyaNimeona Mchungaji Msigwa amejiunga katika ziara ya Tundu Lissu. Wakati Msigwa akigombea, Lissu alipita Iringa na akatoa neno kama la kumtetea Msigwa alipokuwa akipambana na kampeni konki za Sugu.
Msigwa naye, baada ya kuchapwa akachapika, na yeye karudia kauli za baba yake kisiasa, Tundu Antipas Lissu. Inasemekana alienda "kumsemelea" Mbowe, Sugu, Mrema na Kigaila kwa Liissu
Aaahaaa... Msigwa naye aache ushamba! ... we unasikia viongozi wenzio wamenunua kakreti kamoja ka bia wanakata kilaji kiroho-safi ... badala ya wewe kujiunga ukashusha kreti lako, shangwe liendelee, unaanza kujilizaliza ati RUSHWA, POLE MZEE!
😅
Yani CCM anayeiba unamsifia, ila CHADEMA isiyokuwa na mamlaka unailaumu. Yani CCM yenye bunge, halamashauri na mitaa yote pamoja na serikali unailamba miguu, ila CHADEMA isiyo na mamlaka hata kidogo ndio unailaumu. Punguza unafiki na uchawa.Haya mambo ya kipuuzi na watu wapuuzi ndo yanawafanya ccm wauze bahari na madini kwa korea kusini
Kwa akili hizi mpaka ifike 2030 Abdul atakuwa ameuza Kila kitu
Mkuu sio kweli, wala hakuna siri sema wewe una soma kitabu chako upside-down halafu unaona kama kuna siri. Geuza kitabu chako ukisome vizuri!2020 Tundu Lisu alimpigia kampeni ya Ubunge Zitto Kabwe ilhali Chadema ilikuwa na mgombea
Zitto Kabwe alimpigia kampeni Tundu Lisu ilhali ACT wazalendo ilikuwa na mgombea Urais
Kuna Siri kubwa 🐼
🤣 🤣 🤣Kabisa, yaani na baridi la Iringa alitaka watu wasikae mahali hivi wakapoza koo na kujadiliana umahiri wa SSH