RuVu wameshindwaaaa kazi cjui nimeoda vifaranga ila hata awarespond chochote nimewafata waanaandila oda.wanakwambia nenda tutakujulisha ukiwapigia wanakuwa kama awaijui oda yako.....
Chosha sana......
Jaaamani mwenye.Kuku wa kienyeji vifaranga nataka 250....Niko dar.. Wawe bora kuanZia siku moja had I week 2....