Vifo vimezidi

Vifo vimezidi

XhosaVica

Senior Member
Joined
Sep 29, 2020
Posts
157
Reaction score
155
Tumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa.
Tanzania amka.
Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita.
Tunahitaji maombi ya kitaifa na kuangalia wapi tumejikwaa na wapi tunaelekea.
 
Hao ambao wataandaliwa kwa ajili ya maombi ni matapeli wakubwa wanaosabisha hali kuwa ngumu watu kufany kufuru

Kwa hio kama ni maombi yawe binafsi

Ila sio hawa manabbii njaa na mashehe magaidi hawa
 
Mwaka kichaa huu, hadi napata uoga wa kusafiri aiseeh
 
Tumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa.
Tanzania amka.
Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita.
Tunahitaji maombi ya kitaifa na kuangalia wapi tumejikwaa na wapi tunaelekea.
maombi kwa taifa ambalo halimjui Mungu. mnaomba kwa Mungu yupi sasa
Allah, God au MIZIMU yetu ya mababu
 
Hali si poa death rate imepanda sana na vifo vingi Sasa hata si vya ugonjwa ni masuala ya kiusalama zaidi kwa kweli huenda tunaongoza mbele ya Kongo na US
 
Tumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa.
Tanzania amka.
Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita.
Tunahitaji maombi ya kitaifa na kuangalia wapi tumejikwaa na wapi tunaelekea.
Mpaka ccm iondoke mwakani tutashuhudia majanga mengi zaidi
 
Inasikitisha sana.
Usiku wa jana kuamkia leo, nilisafiri toka Dar kwenda Dodoma, kuanzia Chalinze hadi Morogoro kuna ajali zaidi ya 5 nilizoshuhudia ambazo baadhi zimeondoka na roho za watu.
 
Tumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa.
Tanzania amka.
Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita.
Tunahitaji maombi ya kitaifa na kuangalia wapi tumejikwaa na wapi tunaelekead.
 
Back
Top Bottom