maombi kwa taifa ambalo halimjui Mungu. mnaomba kwa Mungu yupi sasaTumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa.
Tanzania amka.
Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita.
Tunahitaji maombi ya kitaifa na kuangalia wapi tumejikwaa na wapi tunaelekea.
Mpaka ccm iondoke mwakani tutashuhudia majanga mengi zaidiTumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa.
Tanzania amka.
Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita.
Tunahitaji maombi ya kitaifa na kuangalia wapi tumejikwaa na wapi tunaelekea.
Tumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa.
Tanzania amka.
Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita.
Tunahitaji maombi ya kitaifa na kuangalia wapi tumejikwaa na wapi tunaelekead.