#COVID19 Vifo vinavyotokana na Corona vyazidi kuongezeka

#COVID19 Vifo vinavyotokana na Corona vyazidi kuongezeka

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Watu 15 wameripotiwa kufariki kwa #COVID19 siku ya Jumapili na kufanya idadi ya waliokufa kwa virusi vya corona kufikia 3775

Hadi sasa kenya imepima watu 2,053,912 ambapo watu 192,758 walikutwa na maambukizi ambapo watu 182,326 wameripotiwa kupona

Watu 1,203 bado wako hospitalini ambapo watu 132 wako katika Uangalizi wa Hali ya Juu (ICU). Kenya imeanza kutoa dozi kwa raia wake ambapo hadi sasa dozi 1,620,465 zimetolewa
 
Pimaaa, pima, pimaaa, pima, pimaaaa weeee.


🤣 🤣 🤣
 
Chanjo chanjooo. Vipi majirani chanjo mmepeleka wapi
 
Chanjo chanjooo. Vipi majirani chanjo mmepeleka wapi

Wale waliochanjwa ndiyo wengi wanaokufa. Hata ulaya na marekani ni hivyo hivyo. Wengi kati ya watu dhaifu waliochanjwa wanakufa. Hata Tanzania kuna eneo walinyata kwenda kuchanja wanako kujua wao. Wakati Magufuli anasema siyo vitu vya kukimbilia!! Wenyewe wakakimbilia. Sasa wanadondoka kama nzige.
 
Back
Top Bottom