Masawe kaishia kusilimu,sasa hivi alhajj swala tano,akifa anaenda kuchakata mbususu na mitungiLissu alishawahi kutamka hadharani kuwa kalipwa stahiki zake na Rais Samia. Kuhusu vifo ni kuwa kila mtu atakufa.. kuna watu wema wengi wamekufa na waovu kibao wanadunda. Hakuna somo lolote kwenye kifo. Ingekuwa kifo ni adhabu basi mtu kama Alex Massawe (AM) dhulumati la kimataifa angeshaondoka kitambo sana.
Mungu ni ufundi. Anajua muda sahihi wa kuchukua hatuaLissu alishawahi kutamka hadharani kuwa kalipwa stahiki zake na Rais Samia. Kuhusu vifo ni kuwa kila mtu atakufa.. kuna watu wema wengi wamekufa na waovu kibao wanadunda. Hakuna somo lolote kwenye kifo. Ingekuwa kifo ni adhabu basi mtu kama Alex Massawe (AM) dhulumati la kimataifa angeshaondoka kitambo sana.
Siku lisu anapigwa risasi au siku kigogo anatangaza tweeter kuwa magu hayupo tena na akasema picha ya gari la kubebea maiti lenye mzinga nyuma likikatiza mitaa ya dar?Nilifufahi sana siku ile