Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Safari hii ni zamu ya kijani.. Bundi yuko njianiLeo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT
1. Anna Mgwira RIP
2. Maalumu Seif RIP
3. Benard Membe RIP
SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
Hakuna kuachiana Maji .Leo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT
1. Anna Mgwira RIP
2. Maalumu Seif RIP
3. Benard Membe RIP
SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
Lazima afeUnataka kusemaje kwa mfano! Maana tetesi zinasema Luhaga Mpina yuko mbioni kupeperusha bendera kwa mwaka huu! Na mbaya zaidi wahusika wenye chama chao nao wapo humu jukwaani!
ACT Wazalendo
Baada ya kukamilisha misheni...Leo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT
1. Anna Mgwira RIP
2. Maalumu Seif RIP
3. Benard Membe RIP
SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
Itapendeza zaidiSafari hii ni zamu ya kijani.. Bundi yuko njianiView attachment 3435486
Kwa kifupi sana, ACT ni project ya TISS wagombea wake nao huwa kwenye project hiyo mission ikifeli wanaachana na wewe kwa njia hiyo.Leo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT
1. Anna Mgwira RIP
2. Maalimu Seif RIP
3. Benard Membe RIP
SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
Hebu hio October ifike