Vifo vya wajawazito na watoto chini ya umri chini ya miaka mitano

Vifo vya wajawazito na watoto chini ya umri chini ya miaka mitano

chedyrichie

Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
7
Reaction score
7
Msaada tafadhali kwa anayejua ni asilimia ngapi ya kina mama wajawazito hufariki na je ni asilimia ngap ya watoto hufariki baada ya kuzaliwa hadi kufikia umri wa miaka mitano? Ipi ni idadi kubwa?
 
Back
Top Bottom