C chedyrichie Member Joined Aug 5, 2015 Posts 7 Reaction score 7 Oct 31, 2017 #1 Msaada tafadhali kwa anayejua ni asilimia ngapi ya kina mama wajawazito hufariki na je ni asilimia ngap ya watoto hufariki baada ya kuzaliwa hadi kufikia umri wa miaka mitano? Ipi ni idadi kubwa?
Msaada tafadhali kwa anayejua ni asilimia ngapi ya kina mama wajawazito hufariki na je ni asilimia ngap ya watoto hufariki baada ya kuzaliwa hadi kufikia umri wa miaka mitano? Ipi ni idadi kubwa?