Vifo vya watu maarufu sala zinahitajika

Vifo vya watu maarufu sala zinahitajika

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Jamani kunahitajika maombi kama taifa kuombea wasanii na watu mashuhuri nchini dhidi ya roho ya kifo inayoendelea kutuandama.
Vilevile na majanga yote kwa nchi yetu

Hebu oneni wasanii tuliowapoteza mwaka huu na bado haujaisha
 
Hao watu mashuhuri na wasanii ni wachache kati ya wanaokufa kwa sababu wanajulikana, kuna watu wengi wamekufa siku ya leo tu na hatuwafahamu. Maombi yawe kwa watu wote kama taifa.
 
Kwahiyo umeona roho za watu maarufu wachache ndio zina umuhimu kuliko roho za maelfu watu wengine zinazopotea kimya kimya mahospitaliani na kwenye majanga mengine kama ya ajali?

Tumia akili mkuu
 
kwahiyo watu maarufu hawatakiwi kufa "" !? wewe Jamaa sikunyingine sijui huwaga una kula maharage ya wapi aisee....
 
Jamani kunahitajika maombi kama taifa kuombea wasanii na watu mashuhuri nchini dhidi ya roho ya kifo inayoendelea kutuandama.
Vilevile na majanga yote kwa nchi yetu

Hebu oneni wasanii tuliowapoteza mwaka huu na bado haujaisha
Usiogope kifo mkuu, ogopa sana dhambi. Kufa siyo mwisho wa kila kitu, bali kufa na dhambi ndiyo mwisho wa kila kitu.
 
Hivi unafahamu kwamba duniani wanafariki kila siku watu zaidi ya 200,000
 
Watu maarufu nao binadamu kama sie tusio maarufu,mie ntaombea familia yangu na taifa kwa ujumla kwenye maombi hakunaga ubaguzi.

Nilikua napita tu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Dah! Sijakuona muda mrefu
 
Hao watu mashuhuri na wasanii ni wachache kati ya wanaokufa kwa sababu wanajulikana, kuna watu wengi wamekufa siku ya leo tu na hatuwafahamu. Maombi yawe kwa watu wote kama taifa.
Asante sana kwa hili jibu,sina haja tena ya kucoment.
 
Kifo hakina Umaarufu kwani hata vichaa ni maarufu.
Umaarufu uko katika mwili, utu ni roho.
 
Back
Top Bottom