Vifo vyaongezeka Uingereza, vyazidi vya Italy

Aaah basi sawa shule zifunguliwe, baadhi ya shughuli watangaze zirejee kama kawaida na kutangaza kabisa kuwa maisha yaendelee kama zamani
Mashine za kupimia zimeambukizwa hazitoi majibu sahihi tena... Unaweza kupeleka vipimo vya dume majibu yakaja ana mimba tena mapacha

Jr[emoji769]
 
Kwa hiyo kila mtu huko alivunja sheria kukutana na mpenzi?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na measures zote, UK, the first world country inatafunwa balaa na Corona. Halafu mnamsema Magu kipumbavu hapa, unadhani hata angepiga lockdown miezi miwili kama hiyo Corona ingengia vizuri tungepona?

Wanaotumiws na mabeberu nadhani hawana hoja hata kidogo.
 
1. Vyafikia 37,000
2. Ndiyo nchi yenye madhara makubwa Ulaya

Sky Eclat kuna nini mbona kunazidi kutisha? What is wrong there? pamoja na measures zote
.... Uingereza ndio nchi yenyewe weusi na waasia wengi zaidi Ulaya!
 
AAAH BASI SAWA SHULE ZIFUNGULIWE, BAADHI YA SHUGHULI WATANGAZE ZIREJEE KAMA KAWAIDA NA KUTANGAZA KABISA KUWA MAISHA YAENDELEE KAMA ZAMANI
Na mkuu tumuone ofisini sasa, tuamini hii kitu umeisha?
 
Mbona vifo vinapanda badala ya kupungua?
Kwamujibu wabandiko hapo la sky anasena kuna baadhi yasheria kuhusiana na lock down zimefunjwa ama kukiuka nandio chanzo kilichopelekea vifo kuongezeka

Ikumbukwe borris aliishusha makali corona kwakusema baadhi ya shughuli zonatakiwa zirejee kama hali yakawaida kwahio baadhi ya watu wakaondokana na social distancing

Nlivyo elewa mm na haka kakingereza kangu kachini ya Mwembe[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using My COVID-19
 
Duh!..Mungu atuepushe na hili janga.
 
soma bandiko la Sky Eclat utaelewa, soma michango ya wenzako
 
soma bandiko la Sky Eclat utaelewa, soma michango ya wenzako
Nieleze bandiko lake linahusu nini, mimi nasoma sehemu tofauti nyingi sana. Hilo bandiko moja ndio litanipa uelewa wote au? Statistics zipo mkuu, siku hizi hatudanganyani kizembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…