Vifungashio vya mazao jamii ya kunde

Vifungashio vya mazao jamii ya kunde

Luhende joseph

New Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Habarin Wana-JF,

Nahitaji msaada wa kujua ninawezaje kupata vifungashio vinavyokubalika kisheria vya kufangashia mazao jamii ya kunde na kama kuna mashine zinazoweza kubana nahitaji kuanzisha biashara ya kupaki na kusambaza dengu ila nataka niwe na nembo yang maalum so nimeshindwa namna ya kupata hivyo vitu.
 
Back
Top Bottom