Dr leader JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 893 Reaction score 1,021 Jan 16, 2024 #1 Habari ndugu kwa wenye uzoefu kuhusu vifungashio vya nafaka mfano mchele kupaki kwenye lebo kuanzia 5kg na kuendelea gharama yake ikoje kwa kila mfuko na nembo
Habari ndugu kwa wenye uzoefu kuhusu vifungashio vya nafaka mfano mchele kupaki kwenye lebo kuanzia 5kg na kuendelea gharama yake ikoje kwa kila mfuko na nembo
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 31,913 Reaction score 65,514 Jan 17, 2024 #2 Watembelee hill packaging, au nenda kwa wale wanao Saga na ku pack unga. 👉Wata kupa info zote
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 31,913 Reaction score 65,514 Jan 17, 2024 #3 Kaka wacheki pia watu smart enterprises ltd. 👉Wapo kwenye social media fb