Tunauza vifungashio vya plastic vilivyo bora kabisa na kwa bei nafuu.
Vifungashio tulivyonavyo kwa kiitaalamu vinaitwa plastic zip bag.
Vipo vya ujazo tofauti kama inavyoonekana hapo chini na bei yake tumeambatanisha.
1Kg = bei Tsh 480/= @ bag
Nusu kilo = bei Tsh 280/= @ bag
Robo kilo = bei Tsh 150/=
bag
140g = bei Tsh 100/=
bag
Free delivery kwa waliopo Dar es salaam na kwa waliopo mikoani tunatuma pia
Tumeambatanisha na sample picture
View attachment 651733 View attachment 651734View attachment 651706
Figure 1: size na muonekano wa vifungashio
Kwa mawasiliano waweza tupigia
O652361559
0718167671
0683226581