Vifungashio

Vifungashio

Joined
May 17, 2014
Posts
50
Reaction score
6
Habari za Jumapili hii , Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunifikisha tarehe kama ya leo, am so happy ila nazidi mwomba anifikishe 2015 pia.

Leo napenda kuwafahamisha ya kwamba kama wewe ni mjasiriamali na uko Mwanza kwa ukaribu zaidi na hata kama uko mikoa mingine, leo ni fursa kwako kwamba sasa unaweza wasiliana na mimi kama unataka design vifungshio katika bidhaa ulizonazo.

Unaweza wasiliana na mimi kwa 0713 164 090 au kwa Voda ni 0763 385 995 nitakutengenezea na kuprint kwa bei nafuu sana.

Nawatakia jumapili njema.
 
ibrah computer

Mkuu ingekuwa vizuri kama ungeweka samples na piakuelezea aina nyingine (ambazo zinaweza kuwa haujaweka kwenye sample). Ni hilo tu @ibrah computer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom