Habari za Jumapili hii , Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunifikisha tarehe kama ya leo, am so happy ila nazidi mwomba anifikishe 2015 pia.
Leo napenda kuwafahamisha ya kwamba kama wewe ni mjasiriamali na uko Mwanza kwa ukaribu zaidi na hata kama uko mikoa mingine, leo ni fursa kwako kwamba sasa unaweza wasiliana na mimi kama unataka design vifungshio katika bidhaa ulizonazo.
Unaweza wasiliana na mimi kwa 0713 164 090 au kwa Voda ni 0763 385 995 nitakutengenezea na kuprint kwa bei nafuu sana.
Nawatakia jumapili njema.