T tony kasanga Member Joined Jul 24, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Nov 11, 2018 #1 Samahani wana jf ninaswali kuna ukweli kuwa mtu akihukumiwa miaka kadhaa kwenda jela kiuhalisia huwa ni nusu ya hyo miaka Mfano hukumu miaka 30 mfungwa atakaa 15 wakihesabu usiku na mchana??
Samahani wana jf ninaswali kuna ukweli kuwa mtu akihukumiwa miaka kadhaa kwenda jela kiuhalisia huwa ni nusu ya hyo miaka Mfano hukumu miaka 30 mfungwa atakaa 15 wakihesabu usiku na mchana??
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Nov 12, 2018 #2 Akihukumiwa miaka 30 atakaa miaka 20, unaondolewa theluthi moja, yaani moja ya tatu.
T tony kasanga Member Joined Jul 24, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Nov 12, 2018 Thread starter #3 Kwa hyo ipo constant kwa vifungo vyote