Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
[emoji23][emoji23]Daktari mwaka-dr mwaka
Richard huitwa Rick
William huitwa Billy
Rweyemamu huitwa Ray (Wahaya bwana😂)
Christian wanamwita TIAN badala ya Chris, waswahili bwana!Christopher wanamwita TOFA! Waswahili sijui ni ndimi nzito
Huu utopolo unakusaidia au kutusaidia nini hapa mwanangu?William-Huitwa Bill. Jina la Bill Gates ni William Henry Gates. Siyo Wile
Robert-Huitwa Bob. Robert Mugabe na Robert Nesta Marley huitwa Bob. Siyo Roba
Elizabeth-Huitwa Lizzy, Siyo Beti
............................................................
Yani sijui wakojeChristian wanamwita TIAN badala ya Chris, waswahili bwana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rutalemwa- Ruta
Kokushubira - Koku
Lakini Wasumuma wana vifupi vyao kwa majina kama ifuatavyo,
Angelina- Njeeri
Baltazari - Taza
Prisca - Puuri
Frank - Fure
Isabela - Sabhe
Grace - Gire