Vifupisho muhimu unavyopaswa kuvifahamu katika maandishi ya kila siku.

GOAT---great of all time??? not sure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OTC-Oversea transport
EKIA-Enemy killed in action
Hii wamarekani waliitumia walivyomuua Osama walisema Geronimo EKIA kujulisha makao makuu kazi tayari.
Ok-zero killed
Hii waingereza waliitumia kujulisha hakuna askari aliyeuwawa ndio chanzo cha neno OK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MOMBASA
Meet our men but avoid silly actions.
FANTA
F.ck and never tell anybody
KENYA
Kill Europeans and not your Africans
 
...Aliyeanzisha Uzi huu alikuwa na Nia njema njema kabisa ya kutoa mchango wake katika kuongeza Ufahamu wa Watanzania wenzake katika vifupi vya mambo mbali mbali vinavyotumika duniani ili kuongeza Ufahamu wetu.
Ni bahati mbaya sana kwamba tumeugeuza kuwa Uzi wa mizaha na kejeli unaopaswa kuwa kule kwenye Vichekesho!!
Sad.

AWOL - Absent Without Leave...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…