Vifurushi vipya vya Yutong D14 za Abood

Kashanusa uyo kua sgr itazima pindi el nino ikianza umeme utakata,mataluma yatang'oka
 
hivi huyu anaijua SGR, mambo ya ajabu sana sasa kuna maana gani kuwa na mwendokasi. huyu atakuwa anahujumu SGR ndiye yupo syndicate na wenzake wanahimiza nauli iwe kubwa.
Wanataman hiyo reli ife
 
Watu hawatishiki na SGR,na ujenzi wa vituo vya mafuta umepamba moto kila kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…