Vifurushi vya Azam tv sio rafiki kwa maskini

Angalia maneno yako, kama dhana ingekuwa hiyo basi wasingeweka vifurushi vya wiki. Kwanini ununue cha wiki wakati hela unayo?? Azam wanafahamu kuwa kuna watu wasiokuwa na hela za kwezi mzima ndiyo maana wakawawekea malipo ya wiki. Kufanya hivyo ni kuwatambua wale wanaodunduliza, sasa inakuwaje yule anayedunduliza alipe zaidi?, hapo ndipo hoja ilipo.
 
Non sense
Wafanyabiashara wanafahamu kuwa:
1. Maskini ni wengi kuliko matajiri, hivyo watakusanya hela nyingi kutoka kwa maskini zaidi
2. Maskini wanapenda starehe kuliko matajiri, hivyo wanatumia mwanya huo
3. Maskini hapigi hesabu kwenye matumizi yake, wanatumia mwanya huo kujipatia pesa kutoka kwao
4. Kuna house girls na mama wa nyumbani wengi wanaoangalia sinema zetu, ndiyo maana hata ukiwa na 3000 utapata sinema zetu kwa kuwalenga wao.
 
Lakini hoja ya mleta mada ni kutosaidia masikini,

Azam TV vifurushi vinapanda kila kukicha,,

Dhumuni la kumsaidia masikini lipo wapi?
 
Kenchi, mabati, milango na madirisha ya matofali!!? Hujui chochote kuhusu ujenzi. Kupanga tofali ni robo tu ya ujenzi, acha tulipie ving'amuzi.
 
Kenchi, mabati, milango na madirisha ya matofali!!? Hujui chochote kuhusu ujenzi. Kupanga tofali ni robo tu ya ujenzi, acha tulipie ving'amuzi.
Matofali 4,680 x sh 100 = Tsh. 468,000. Hizi kwa kijijini zinatosha kabisa kunua mbao zote za kupaulia vyumba vitatu na fundi kwa mwaka wa pili baada ya kununua matofali, mwaka watatu unanunu mabati na mlango wa mbele na nyuma tayari unahamia kwenye nyumba yako ya kisasa ndani ya miaka 3 ya kudunduliza kwa kubana matumizi ya king'amuzi tu . Kaka maisha ni hesabu na uchumi ni matumizi yako sio makusanyo.
 
Non sense
Mkuu hyo yako CHA MTOTO...Mimi nilishamla MAMA MKWE WNGU....ni mtamu hatari...

 
Umeamua kuingia maktaba,,mkuu
 
Concept ni ileile ya wizi kwa maskani ambao ndo wengi kwwnue jamii kwa kutumia udhaifu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…