Vifurushi vya simu vyapanda kimya kimya

So hao jamaa uwa wanakaa na kupanga namna ya kutuibia!nchi za wenzetu kuna bundles 2 tu,internet na kupiga kawaida,lkn hivyo vifurushi sijui cha usiku tu,cha youtube tu wizi mtupu
 
Yaani ni kilio ,bank napo wameongeza gharama mfano nbc ukitaka kutoa milion moja maximum ni 200000 kwa Atm kwa hiyo utatoa mara tano ,huku airtel nikinunua bado la 10000 napata Gb 4 ndani ya siku 3 zinaisha ,sijui mwenda zake atarudiini ?[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
daaaah yaaan ii ngoma imeanza leo ngoja kesho vifurush viwaisgie ndo tutaskia
 
Yeah ni kweli kabisa.. Jana 5000 nimepata GB 3 tuu
 
voda gb 1 ni sawa na mb 500[emoji28][emoji28]
Nadhani ni MB 300 mkuu sio 500 hiyo 2GB inakimbia kama hujaweka kitu na hapo unatumia kusoma sio kufungua fungua tatizo TCRA sijui wanafanya nini? Vitu vya msingi hutawasikia kujadili kabisaa kama haviwahusu.
 
Nadhani ni MB 300 mkuu sio 500 hiyo 2GB inakimbia kama hujaweka kitu na hapo unatumia kusoma sio kufungua fungua tatizo TCRA sijui wanafanya nini? Vitu vya msingi hutawasikia kujadili kabisaa kama haviwahusu.
viongozi wetu ni kama vipofuu. wao wana pesa wanawafungia watoto wao wifi router analipia kwa mwezi sasa sisi wa vidumu sheli hawatuthamin
 
Ndio mkome kuchagua CCM wapumbavu nyie..miaka 60 ya uhuru malalamiko ni yaleyale tu mara maji,umeme,internet shwain
 
[emoji24][emoji24] dah!!
 
Maisha yanapanda sana kwa sisi wenye vipato vya kati ambao ndiyo tunausaka utajir cjui kama tutaupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…