Vifurushi vya Tigo vinaisha haraka kuliko vya voda

Mimi hao ndio kabisa wananiibia, bando linaisha fasta na wanatuma text nimemaliza lkn nikicheki kwenye data usage na kupiga mahesabu nakuta karibia Mb 200 kwny Gb 2 hazijatumika.

Nilijiunga ya mwezi, mzee hata wiki haijafika wakazifyeka
 
Leo nimejiunga Halotel kuwapa nafasi ya mwisho kama wakiendelea na uhuni wao kama wasiku zote nawasusa Moja kwa moja

Wanakera mno chief,,,for now najiunga na vifurushi vya tigo, lakinii yale yale tuu
 
Usiwasingizie Halotel aisee. Kwa sasa Halotel ndo wapo vizuri
Mimi nilidhani niko peke yangu ambaye naona Halotel wanatuibia kwny vifurushi vyao vya intaneti Jf nimewakataa pia ,vile vile nimemkuta mjuba mwingine Youtube huko wkt nacheki video naye analalama nikacheka mwenyewe
 
Mambo mengine mnajitakia wenyewe.

Kabla hujawasha datahakikisha umeiset play store in OFF updating app. Ili kupunguza ulaji wa data bila sabbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…