Mitandao ya Halotel, Vodacom na tigo ni vurugu tupu. wakiona umetumia vifurushi vyao frequently basi umekwisha menyu inapindishwa gharama.1. Kila laini ina menu tofauti. Mfano Saizi yako ukiwa say na laini mbili za Tigo, kila laini ina menu tofauti ya size yako interms of every thing...dakika, MB, etc etc.
2. Laini ingine saizi yako ina 50 min tigo tigo, 50 mitandao yote, 50 msm/24/1,000
Na vurugu nyingine nyingi.
Takataka tupu
You might be true!Mitandao ya Halotel, Vodacom na tigo ni vurugu tupu. wakiona umetumia vifurushi vyao frequently vasi umekwisha menyu inapindishwa gharama.
Ngoja nichonge line nyingine leo! nione ukweli wa hoja yako. asante for taarifaOffer za vifurushi inategemeana na line yako Ina miaka mingapi tangu usajili. Line Mpya ukisajili Leo unapata MB nyingi kuliko line kongwe
hata ukienda kwenye other offers ni hivyo hivyoUshaambiwa size yako, unataka mlingane?😜