SAUTIYANGU
New Member
- Oct 23, 2024
- 4
- 2
VIFUSI VYA BARABARA VYAGEUKA KERO.
Vifusi vilivyowekwa kwa muda mrefu bila kusambazwa katika barabara ya Sogea Machinjioni vimegeuka kero na usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo na kuiomba serikali kusambaza vifusi hivyo na kuendelea na ujenzi wa barabara hiyo.
Kusimama kwa ujenzi wa barabara kunasababisha KERO na usumbufu kwa wananchi kwani barabara hiyo imekuwa finyu.
Pia soma ~ Vifusi vilivyokuwa kero Barabara ya Sogea-Machinjioni (Tunduma) vyasambazwa