Mungu anapotaka kumuangamiza mtu au chama basi umnyima maono kwanza, majibu ya upofu huu wa ccm yatapatikana siku si nyingi kutoka sasa.
maana mimi mtaani kwangu sasa hivi wale waswahili ambao walizoea kuja kunipiga mizinga kulipia ada za watoto zao kwenye shule za kata nimeshawapiga stop, na nimewaeleza wazi kwamba Dr Slaa aliahidi elimu bure sasa nyinyi bado mnawapigia kura ccm!
Sasa hii njaa itakapozidi watanzania hawatohitaji tena kuhutubiwa, watachukuwa maamuzi bila hata kushawishiwa,...... mimi binafsi sasa naomba maisha yawe magumu mara 10 kuliko sasa, hiyo ndio njia pekee ya kuwasaidia watanzania kupata akili ya utambuzi.
waambie waende dodoma. Nasikia huko wabunge wanagawa posho kila wakitoka kwenye kikaoMungu anapotaka kumuangamiza mtu au chama basi umnyima maono kwanza, majibu ya upofu huu wa ccm yatapatikana siku si nyingi kutoka sasa.maana mimi mtaani kwangu sasa hivi wale waswahili ambao walizoea kuja kunipiga mizinga kulipia ada za watoto zao kwenye shule za kata nimeshawapiga stop, na nimewaeleza wazi kwamba Dr Slaa aliahidi elimu bure sasa nyinyi bado mnawapigia kura ccm!Sasa hii njaa itakapozidi watanzania hawatohitaji tena kuhutubiwa, watachukuwa maamuzi bila hata kushawishiwa,...... mimi binafsi sasa naomba maisha yawe magumu mara 10 kuliko sasa, hiyo ndio njia pekee ya kuwasaidia watanzania kupata akili ya utambuzi.