Vigezo gani hutumika kumpata kocha bora wa mwezi ligi kuu ya NBC?

Vigezo gani hutumika kumpata kocha bora wa mwezi ligi kuu ya NBC?

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Ni vigezo gani hutumika kuchagua kocha bora wa mwezi kwa ligi yetu pendwa ya NBC?

Rekodi zinaonyesha kocha wa Yanga amekuwa na muendelezo bora kuliko makocha wote wa ligi kuu kwenye kila mechi ana 90% za kushinda .

Lakini ni miezi kadhaa tuzo zinatilewa ila anashindwa/anakosa i

Nabi alishinda Tuzo ya kwanza ya kocha Bora wa mwezi,baada ya hapo hajashinda Tuzo yoyote, wanapewa makocha Kwa sababu zisizoeleweka, na hapa karibuni kaweka rekodi ya kushinda mechi 11 mfululizo kwenye ligi ila Tuzo imetolewa kwa wengine au ndo ile vile “Soka letu kivyetu vyetu”?
47B77979-1671-4475-B0B6-ECEEA6FB89C2.jpeg
 
Back
Top Bottom