Vigezo gani kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi?

Vigezo gani kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Ni vigezo gani vimetumika kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi november na siyo kocha wa Simba?

Mechi 3 za mwezi november Azam wameshinda mechi 3,
Azam 1 Kagera Sugar 0
Azam 2 Singida Big Star 1
Yanga 0 Azam 1.

Mechi za Simba
Pamba 0 Simba 1
Simba 4 KMC 0
Mashujaa 0 Simba 1

Azam mechi 3 kafunga magoli 4 kafungwa goli 1 na mechi moja ugenini
Simba mechi 3 kafunga magoli 6 na hajafungwa goli na mechi 2 za ugenini.

Kwanini kocha wa Azam awe kocha bora wa mwezi novermber?

==

1733392630507.png

1733392658098.png
 
Mpira inaocheza Azam kama una hakili huwezi linginisha na Mpira wa Simba kabisa
 
Fadlu alistahili zaidi kupata hiyo tuzo ila labda wanataka kuongeza chachu ya ushindani katika ligi kwa hiyo wamempa Taoussi ili kumpa changamoto Fadlu aendelee kukaza zaidi na Taoussi naye aongeze juhudi ili amfikie mwamba.

Ligi ya NBC sasa hivi ina makocha wa maana wawili tu hao, wengine ni wababaishaji.
 
Back
Top Bottom