Fadlu alistahili zaidi kupata hiyo tuzo ila labda wanataka kuongeza chachu ya ushindani katika ligi kwa hiyo wamempa Taoussi ili kumpa changamoto Fadlu aendelee kukaza zaidi na Taoussi naye aongeze juhudi ili amfikie mwamba.
Ligi ya NBC sasa hivi ina makocha wa maana wawili tu hao, wengine ni wababaishaji.