Jacobo Charles
New Member
- Feb 4, 2020
- 4
- 0
Naomba kuliza ni vigezo gani ambavyo unapswa kuwa navyo ili uweze kujiunga na chuo cha udereva NIT
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha muhimu kiliko vyote Lazima uwe Dereva unaijua vizuri Gia namaanisha kuendesha Gari Manual vizur coz kabla hujapewa accnt no ya malipo lazima upewe eicher zile upige gia ukiboronga hapo wanakutimua hapo hapo ni hivyo tu hiko kigezo ukipita hapo unaendelea na masomo.Naomba kuliza Ni vigezo gani ambavyo unapswa kua navyo ili uweze kujiunga na chuo Cha udeleva NIT
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Huna hizo Daraja ulizoweka hapo uwezi soma VIP coursePale wanaenda watu ambao ni madereva tayr, so unaenda "Advanced driving course"
Vigezo.
Uwe na lesen class C,C1,2,3 au E
Uwe umeitumia zaid ya mwak mmoja
Uwe na mafunzo ya udereva wa swali kutk beta au Chuo kinachotambuliwa na serkl.
Uwe unajua kuendsha vzur gar la manual, sku is Kuna pre testing kbla haujaanza kusoma
Ada, 500+ kwa VIP grade I,600+VIP grade II, 400+ kwa PSV
Ni hayo ya msing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili usome vip kozi pale nit unatakiwa uwe na class D ya miaka miwili tunasoma vipKama Huna hizo Daraja ulizoweka hapo uwezi soma VIP course